• Huduma kwa wateja: +255 657 907 091

Wasifu wa Kampuni

Kwa maelezo zaidi tupigie

Huduma kwa wateja

+255 657 907 091

KARIBU

Cholemu Investment ltd.

Cholemu Investment Limited ni kampuni iliyopata usajili wake Mwaka 2017, usajili huu ulizingatia sheria ya makampuni ya Mwaka 2002 nchini Tanzania na kupatiwa kibali cha kufanya shughuli za upimaji na uuzaji wa ardhi kwa watu binafsi, vikundi na Taasisi ndani ya nchi ya Tanzania. Kampuni yetu inatoa huduma hizo tajwa kwa njia ya mkopo nafuu isiyokuwa na riba wala dhamana.

Wakati Jumuiya ya Africa Mashariki ilipokuwa ikiundwa na nchi tano(5), ambazo ilikuwa ni Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi na Rwanda, kabla ya ya ongezeko la nchi mbili ( South sudan na DRC) takwimu zilikuwa kama ifuatavyo eneo lote la Afrika Mashariki lilikadiriwa kuwa na ukubwa wa kilomita za mraba 1,820,664 na zaidi ya asilimia 53 ya eneo lote la jumuiya hiyo ilikuwa ni taifa la Tanzania, baada ya uchunguzi uliofanywa na vijana wasomi wa kitanzania waligundua kwamba Tanzania ina eneo kubwa la ardhi lakini watanzania wenyewe hawana mwamko wa kumiliki ardhi, ndipo ilipo zaliwa kampuni ya kizalendo ya Cholemu Investment Limited.

12

Miradi inayoendele

124

Miradi iliyokamilika

578

Wateja

5

Mikoa tuliyofika

Kutana na Timu yetu

Tuna timu ya watu wenye weledi na uzoefu wa kutosha watakaokupatia ushauri juu ya masuala mazima ya ardhi
Switcher Colors